ANGALIA VITABU

NyumbaniPATA VITABU VIZURI KATIKA NYANJA ZOTE ZA MAISHA


Tovuti hii ya pata elimu ni kwa ajili ya watu wenye mapenzi, shauku na chachu ya kupata maarifa ya mambo mbalimbali ya kisaikolojia, kiimani, kiuchumi, kibiashara na uwekezaji fedha.


Ukizungumzia kuhusu kujua unachokitafuta ni watu wachache ambao wanajua wanachokitafuta, ili kujua kama unajua unachokitafuta ni pale utakapo kuwa na majibu ya maswali kama haya mfano nitakuwa wapi, kama nani, nafanya nini, yani hasa maisha yangu yatakyuwaje kichumi, kijamii, kiimani baada ya muda fulani.

N.B Kikubwa ni kutambua unaelekea wapi na utakuwa na hali gani baada ya muda fulani.

4.5
  • 2 Month
  • 68 Customer
  • 25 Books

Watu wanaopata mafanikio siku zote ni wale ambao wanawajibika katika maisha yao, asilimia zote na siyo kutegemea mtu au taasisi, Mfano ndugu, wazazi, marafiki au serikali husika.

Ebu fikiria wewe ambaye umeajiliwa na serikali na unategemea mshahara tu ili uendeshe maisha yako na hauna chanzo chochote cha kipato.Ikitokea serikali imeishiwa hela za kuwalipa wafanyakazi wake wewe utaishije?.

NB:Jitume,acha kutegemea ndugu, marafiki, serikali ili uweze kufanikiwa kwani hatima ya maisha yako iko mikononi mwako.

4.5
  • 2 Month
  • 68 Customer
  • 25 Books

Kupitia kitabu hiki utajua jinsi ya kujenga kujiamini, hatua unazopaswa kuichukua ili kupata matoke katikati ya hofu.

SELLING PRICE: TSH 8,000.

TSH 11,000.

Kupitia kitabu hiki utajua jinsi ya kugundua uwezo wako wa kipekee na kuweza kuutumia kama nyenzo ya kukupatia mafanikio

SELLING PRICE: TSH 8,000.

TSH 15,000.

Kupitia kitabu hiki utajua njisi ya kutengeneza mtandao wa marafiki bora watakao kusaidia kutimiza malengo yako

SELLING PRICE: TSH 6,000.

TSH 9,000.


Kupitia kitabu hiki utaweza kuyafahamu yafuatayo, kujenga mtazamo na ufahamu chanya kuhusu fedha, kanuni ya dhahabu ya kuhusu fedha

SELLING PRICE: TSH 10,000.

TSH 15,000.

Kupitia muongozo wa kitabu hiki utaweza kupata maarifa kuhusu namna ya kuweka akiba na kufanya uwekazaji.

SELLING PRICE: TSH 9,000.

TSH 13,000.

Kupitia muongozo wa kitabu hiki utajua chanzo cha nidhamu binafsi, na jinsi unavyoweza kufanikiwa kupitia nidhamu binafsi.

SELLING PRICE: TSH 7,000.

TSH 10,000.